Lyrics: Harmonize – Bakhresa

Lyrics: Harmonize – Bakhresa

Lyrics: Harmonize – Bakhresa

Bakhresa…

Bakhre

Bakhre

Bakhresa…

yeah!

Konde boy call me

Number One

Number one

Bila shaka haujawahi

Kumuona hata kwa sura

Boss wa karibia

Unacho kula

Huwezi muona kwa

Tv ata kwa dharula

Ingawa yeye ndo

Mwenye king amuzi

Hana time na mitandao

Yani kuuza sura

Ype busy na mafao

Pesa mlungula

Angetaka kupita nao

Wote angeshakula

Hana huo muda wa makuziii

Masikini anawapa mitaji

wagawane na watu wazima

Huwezi muona kwenye picha

Na wajane au mayatima

Hawezi kujisifia nyamba

Wala magari range na bimaa

Riziki anagawa muumba

Jalajalali kikubwa uzima!

Sura yake kwako lazima

Itakuwa ngeni

Uwewnda ushapishana

Nae kwenye foleni

Maana sio mtu wa

Kupop mashampeni

Yeye sio limbukeni (Yeah)

Mfano wa mtu mwenye pesa!

Ooh pesaa!

Aaah!

We mtazame bakhresa!

bakhresa….

Mfano wa mtu mwenye pesaah ah ah!

Ooh pesaaaa

aaaahh…

We mtazame bakhresa!

bakhresa….

I wanna smoke some weed

Uuh uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh uuh

aaaahhhh….

Bakhresa hajawahi kugombea

Cheo au kujisifu na maendeleo

Hawezi kushika pesa akazigawa

Hivi ushasikia bakhresa ana chawa

Akina tajiri mo kipenzi

Chu wana simba aah ahh!

Tunawaona insta wakicheza

Nakuimba aah aah aah!

Gharibu boss wa yanga na GSM

Yeye ana utaratibu wa kwenda

Kwa mkapa kucheki game

Sio mbaya ila uwenzi kumuona

Bakhresa akijisifu na pesa

Na majigambo rumbesa

(Bakhresa aah aah)

Mtanzania pekee aliyee juu

Ya bakhresa ni raisi

Wa jamuhuri maana yeye ni taasisi

OOh

And guess what mama yuko peace

Na ukimuona ametokea akiongea

Ni kwaajili yetu sisi

Wakati unajigamba wa mbezi beach

Bakhresa ana mashamba huko kijichi

Ebu acha ushamba pesa haijifichi

Eti I gat too much money am so rich

Mfano wa mtu mwenye pesa!

Ooh pesaa!

Aaah!

We mtazame bakhresa!

bakhresa….

Mfano wa mtu mwenye pesaah ah ah!

Ooh pesaaaa

aaaahh…

We mtazame bakhresa!

bakhresa….

I wanna smoke some weed

Uuh uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh uuh

Uuh uuh uuh uuh

Yaw yaw

Tell them boys

We got this new money

And we live low key baby…

Jeshii

DOWNLOAD MP3

Avatar
About Sandra 3930 Articles
I'm a professional female blogger. I love blogging so much.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.